Chuo Kikuu Mzumbe kinapenda kuufahamisha umma kwamba, Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Mh. Barnabas Samatta (Jaji Mkuu Mstaafu), amewateua Profesa Ganka Daniel Nyamsogoro kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma) na Profesa Ernest Kihanga kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Utawala na Fedha). Uteuzi wa kila mmoja wao ni kwa kipindi cha miaka minne, kuanzia tarehe 13 Machi 2017 hadi 12 Machi 2021. Bonyeza hapa kusoma zaidi ....

Address

 • MBEYA CAMPUS COLLEGE
  Forest Area - Mbeya City
  Mzumbe University
  P.O.Box  6559, Mbeya, Tanzania
  Tel: +255 (0) 0252502863 /57/58
  Fax: +255 (0) 0252502862
  Cell: +255 (0) 789411448
  eb:www.mcc.mzumbe.ac.tz

 

About us

News Letter

News Letter