MAHAFALI CHUO KIKUU MZUMBE MBEYA YAFANA

Maaandamano yakiendelea kuelekea kwenye eneo la mahafali.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka akitoa akisoma hotuba yake wakati wa

mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya  Mbeya  yaliyofanyika leo Disemba 02, 2021 jijini Mbeya.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akiwapa vyeti vya

kuwatambua wanachuo wanataaluma waliofanya vizuri wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe

Ndaki ya Mbeya yaliyofanyika Disemba 02,2021 jijini Mbeya.

Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa

na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein wakati wa mahafali ya 20 ya

Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya  yaliyofanyika leo Disemba 02,2021 jijini  Mbeya.

 

 

Address

MBEYA CAMPUS COLLEGE
Forest Area - Mbeya City
Mzumbe University
P.O.Box  6559, Mbeya, Tanzania
Tel: +255 (0) 252502863 /57/58
Fax: +255 (0) 252502862
email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.