.

.

.

Mwanafunzi wa darasa la Tano, Shule ya Msingi Ndola Mbalizi Abubakari Shabani Mwamba akichangia shilingi 400 katika harambee ya ujenzi wa hosteli za Kike Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya.

.

.

.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera akichangia harambee ya ujenzi wa Hosteli ya wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya jijini humo leo Mei 25,2023.

NEWS AND UPDATES

Feb 08, 2024 236

CALL FOR APPLICATION FOR DAR ES SALAAM CAMPUS COLLEGE-MARCH INTAKE

Mzumbe University invites applications for Postgraduate programmes that are offered at Dar Es Salaam Campus College (DCC) for March window intake from suitably qualified candidates for the… Read More
Dec 15, 2023 245

WITO WA KUSHIRIKI KUCHANGIA UJENZI WA HOSTELI YA WANAFUNZI WA KIKE KAMPASI YA MBEYA

Chuo Kikuu Mzumbe kinawaalika wahitimu wake pamoja na wadau wengine wa elimu na wapenda maendeleo kuchangia ujenzi wa Hosteli ya wanafunzi wa kike kampasi ya Mbeya. Kwa pamoja tuwe sehemu… Read More
Mar 20, 2023 744

WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU MZUMBE MBEYA WAAZIMIA KUMKOMBOA MTOTO WA KIKE

Zikiwa ni siku kadhaa tangu kuhitimishwa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Dunia, Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya, wameanzisha kampeni mahususi ya ujenzi wa Bweni la… Read More

Address

MBEYA CAMPUS COLLEGE
Forest Area - Mbeya City
Mzumbe University
P.O.Box  6559, Mbeya, Tanzania
Tel: +255 (0) 252502863 /57/58
Fax: +255 (0) 252502862
email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.