Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akiwa kwenye maandamano kuelekea kwenye eneo la mahafali wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya yaliyofanyika Disemba 02,2021 jijini Mbeya.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akiwapa vyeti vya kuwatambua wanachuo wanataaluma waliofanya vizuri wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya yaliyofanyika Disemba 02,2021 jijini Mbeya.
Mzumbe University invites applications for Postgraduate programmes that are offered at Dar Es Salaam Campus College (DCC) for March window intake from suitably qualified candidates for the…
Read More
MBEYA CAMPUS COLLEGE Forest Area - Mbeya City Mzumbe University P.O.Box 6559, Mbeya, Tanzania Tel: +255 (0) 252502863 /57/58 Fax: +255 (0) 252502862 email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.