Chuo Kikuu Mzumbe kinawaalika wahitimu wake pamoja na wadau wengine wa elimu na wapenda maendeleo kuchangia ujenzi wa Hosteli ya wanafunzi wa kike kampasi ya Mbeya. Kwa pamoja tuwe sehemu ya kuboresha maisha ya watoto wa kike.
Unaweza kutuma mchango wako moja kwa moja kupitia namba ya Malipo: 994180331310 JINA: MCC FUNDRAISING CAMPAIGN